• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 26, 2012

  SIMBA KABLA YA KUIVAA MATHARE...
  1. Mratibu wa Usalama na Afya wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kassena Heavy, akiwaeleza jambo wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba waliotembelea kiwanda cha TBL kilichopo Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. (Picha: Executive Solutions)
  2. Meneja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiongea na wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba waliotembelea kiwanda cha TBL kilichopo Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. (Picha: Executive Solutions)
  3. Meneja wa Mauzo wa Kanda ya Kaskazini wa kampuni ya bia Tanzania (TBL), Kasiro Msangi akiongea na wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba waliotembelea kiwanda cha TBL kilichopo Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. (Picha: Executive Solutions)
  4. Wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba wakitembelea kiwanda cha TBL kilichopo Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. (Picha: Executive Solutions)
  5. Mratibu wa Usalama na Afya wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kassena Heavy, akiwaeleza jambo wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba waliotembelea kiwanda cha TBL kilichopo Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. (Picha: Executive Solutions)
  6. Kocha Mkuu wa Simba, Profesa Milovan Cirkovic akiongea na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe kwenye hafla iliyofanyika baada ya wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba kutembelea kiwanda cha TBL kilichopo Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. (Picha: Executive Solutions)
  7. Wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba wakitembelea kiwanda cha TBL kilichopo Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. (Picha: Executive Solutions)
  8. Mshambuliaji hatari wa Simba, Mrisho Ngassa akisalimia wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakati wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba walipotembelea kiwanda cha TBL kilichopo Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. (Picha: Executive Solutions)
  9. Wechezaji wa klabu ya Simba wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kilichopo Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. (Picha: Executive Solutions)
  10. Kocha Mkuu wa Simba, Profesa Milovan Cirkovic akitoa neon la shukrani baada ya wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba kutembelea kiwanda cha TBL kilichopo Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. Kulia kwake ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe na Meneja wa Vifaa wa Klabu ya Simba, Kessy Hassan (kushoto) (Picha: Executive Solutions)
  11. Wechezaji wa klabu ya Simba wakiwa katika picha ya pamoja na viongozii wa kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kilichopo Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. (Picha: Executive Solutions)
  12. Wechezaji wa klabu ya Simba wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kilichopo Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. (Picha: Executive Solutions)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA KABLA YA KUIVAA MATHARE... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top