• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 25, 2012

  COASTAL UNION YAPIGWA KIDUDE MOROGORO


  POLISI Morogoro imeibamiza Coastal Union ya Tanga 1-0,. kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Bao hilo pekee, lilitiewa kimiani Mokili Rambo dakika ta 80.
  Mechi hiyo ilikuwa ni maalum kwa timu zote kuvipima vikosi vyake kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bata.
  Katika mchezo huo, vikosi vilikuwa: Polisi Moro; Said Manzi,Nahoda Bakary,John Bosco,Hamisi Mamiwa, Abdallah Rajab,Salmin Kiss, Admin Bantu, Pascal Maige, Abdallah Juma, Mokili Rambo na Keneth Masumbuko
  Coastal union; Jackson Chove,Mbwana Bakary, Juma Jabu, Jama Macheranga, Philip Metusela, Hamisi Shengo, Pius Kisambile, Razak Khalfan, Nsa Job, Suleiman Kassim 'Selembe' na Atupele Green.
  Kikosi cha  timu Coastal Union kilichoanza

   
   Kikosi Polisi kilichoanza
   Kipute
   Kipute
   Kipa wa Polisi, Saidi Manzi akiokoa moja ya hatari langoni mwake
  Suleiman 'Salembe' akitafuta mbinu za kuwatoka Polisi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAPIGWA KIDUDE MOROGORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top