• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 31, 2012

  MBUYU TWITE 'RAGE' AANZA KAZI RASMI LEO JANGWANI


  Picha tofauti zikimuonesha beki mpya wa Mabingwa wa Soka wa Kombe la Kagame, Yanga, Mbuyu Twite akijifua na wenzake katika mazoezi ya kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam leo. PICHA ZOTE KWA HISANI YA HABARI MSETO BLOG.
   Twite akipokea maelekezo kutoka kwa kocha wa Yanga Tom Saintfiet

   Twite akipiga 'push-up' katika mazoezi yake ya kwanza akiwa na Yanga jijini Dar es Salaam yaliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Mabibo Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBUYU TWITE 'RAGE' AANZA KAZI RASMI LEO JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top