• HABARI MPYA

  Wednesday, April 05, 2017

  ETI HILI BAO NI OFFSIDE KWELI?

  Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan bIbrahimovic akipiga kichwa kufunga bao timu yake ambalo hata hivyo lilikataliwa kwa madai alikuwa ameotea. Zlatan akafunga kwa penalti dakika ya 90 na ushei kuipatia United bao la kusawazisha baada ya Phil Jagielka kutangulia kuifungia Everton dakika ya 22 Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ETI HILI BAO NI OFFSIDE KWELI? Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top