Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan bIbrahimovic akipiga kichwa kufunga bao timu yake ambalo hata hivyo lilikataliwa kwa madai alikuwa ameotea. Zlatan akafunga kwa penalti dakika ya 90 na ushei kuipatia United bao la kusawazisha baada ya Phil Jagielka kutangulia kuifungia Everton dakika ya 22 Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment