• HABARI MPYA

    Thursday, November 10, 2016

    YANGA 'YASHAINI', RUVU SHOOTING WALALA 2-1 UHURU

    Wachezaji wa Yanga wakimpongeza kiungo Haruna Niyonzima (katikati kulia) baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 56 wakiilaza 2-1 Ruvu Shooting jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Ruvu Shooting walitangulia kwa bao la Abrahman Mussa dakika ya saba kabla ya Simon Msuva kuisawazishia Yanga dakika ya 32 akimalizia pasi ya Nahodha Niyonzima
    Simon Msuva akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Mao Bofu
    Kiungo wa Ruvu, Said Madega (katikati) akipambana na washambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa (kulia) na Amissi Tambwe (kushoto)
    Tambwe akimtoka Shaibu Nayopa wa Ruvu Shooting
    Haruna Niyonzima (kushoto) akimtoka Mau Boffu
    Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimtoka beki wa Ruvu, Renatus Kisase
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA 'YASHAINI', RUVU SHOOTING WALALA 2-1 UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top