• HABARI MPYA

  Thursday, October 13, 2016

  KIM POULSEN ALIPOWATEMBELEA SERENGETI BOYS WAPYA KAMBINI MWANZA

  Mshauri wa soka la maendeleo ya vijana, Kim Poulsen (mwenye jezi ya bluu) na rafiki yake, Benny Pedersen wakisimamia mazoezi ya viungo ya timu ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 14 kwenye Viwanja wa Alliance jijini Mwanza. Vijana hao wanaosoma Shule ya Alliance  wanaandaliwa kuwa timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ambako Tanzania itaandaa fainaliza kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).

   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIM POULSEN ALIPOWATEMBELEA SERENGETI BOYS WAPYA KAMBINI MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top