• HABARI MPYA

    Wednesday, October 12, 2016

    KHEDIRA AFUNGA LA PILI UJERUMANI IKICHINJA 2-0 KOMBE LA DUNIA

    Sami Khedira akienda hewani kuifungia Ujerumani dakika ya 17 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Ireland Kaskazini usiku huu Uwanja wa  HDI-Arena mjini Hannover katika mchezo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia. Bao lingine la Ujerumani lilifungwa na Julian Draxler dakika ya 13 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KHEDIRA AFUNGA LA PILI UJERUMANI IKICHINJA 2-0 KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top