• HABARI MPYA

  Sunday, October 16, 2016

  AZAM NA YANGA HAKUNA MBABE, WATOA SARE YA 0-0 SHAMBA LA BIBI

  Beki wa Yanga, Kevin Yondan (kulia) akipambana na beki wa Azam, Mzimbabwe Bruce Kangwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya 0-0
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM NA YANGA HAKUNA MBABE, WATOA SARE YA 0-0 SHAMBA LA BIBI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top