Mkongwe Zlatan Ibrahimovic akishangilia baada ya kufunga bao lake la 17 katika Ligi Kuu ya England dakika ya 30 Uwanja wa Light katika mchezo dhidi ya wenyeji, Sunderland, ambao Manchester United wameshinda 3-0. Mabao mengine ya Man United yamefunga na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 46 na Marcus Rashford dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment