Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Mbaraka Yussuf Abeid (kulia) akiwapita wachezaji wa Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Kagera Sugar ilishinda 2-1
Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Christopher Edward akilala chini kuondosha mpira miguuni mwa winga wa Simba, Shiza Kichuya
Christopher Edward akilala kwa mara nyingine kuondosha mpira miguuni mwa kiungo Mghana wa Simba, James Kotei
Beki wa Kagera Sugar, Mohammed Fakhi akinyoosha mguu kuondosha mpira miguuni mwa kiungo wa Simba, Said Ndemla anayejaribu kupiga
Mshambuliaji wa Simba, Mrundi Laudit Mavugo akiwa amemuangukia beki wa Kagera Sugar, Mohammed Fakhi
Kiungo na Nahodha wa Kagera Sugar, George Kavilla akimfunga tela Laudit Mavugo
Mashabiki wa Simba waliokosa nafasi ya kuingia uwanjani jana walipanda juu ya miti
Mashabiki wa Kagera Sugar wakifurahia burudani ya timu yao jana Uwanja wa Kaitaba
Kikosi cha Kagera Sugar jana na chini ni kikosi cha Simba
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment