Nyota wa Barcelona, Mbrazil Neymar akitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 65 timu yake ikifungwa 2-0 na wenyeji, Malaga katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa La Rosaleda mjini Malaga. Mabao ya wenyeji yamefungwa na Sandro Ramirez dakika ya 32 na Jony dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment