Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 17 na 38 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Real-Sociedad usiku wa Jumamosi Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa La Liga. Bao lingine la Barca limefungwa na Paco Alcacer dakika ya 44 wakati mabao ya Sociedad yamefungwa na Samuel Umtiti aliyejifunga dakika ya 42 na Xabi Prieto dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cheltenham Festival LIVE: Tips and results from Champions Day as Kopek Des
Bordes, Lossiemouth and The New Lion headline action-packed opening day
-
Follow Daily Mail Sport's live blog of day one at the 2026 Cheltenham
Festival as we bring you the latest tips, racecards and results from one of
the bigge...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment