Christian Benteke wa Crystal Palace (kulia) akijipinda hewani kumtungua kipa wa Leicester City, Kasper Schmeichel dakika ya 70 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Selhurst Park, London kuipatia timu yake sare ya 2-2. Bao lingine la Palace lilifungwa na Yohan Cabaye dakika ya 54, wakati mabao ya Leicester yalifungwa na Robert Huth dakika ya sita na Jamie Vardy dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Calum McFarlane responds to claims Chelsea stars got Liam Rosenior the sack
as he hits back at critics of their 'character' after beating Leeds to
reach FA Cup final
-
KIERAN GILL AT WEMBLEY: Chelsea's interim manager Calum McFarlane insisted
his players proved to their army of critics that they have character after
beati...
28 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment