Beki wa Anderlecht, Serigne Mbodji akiteleza kuondosha mpiura miguuni mwa mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford usiku wa jana katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya michuano ua UEAF Europa League Uwanja wa Constant Vanden Stock mjini Brussel, Ubelgiji. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, United wakitangulia kwa bao la Henrikh Mkhitaryan dakika ya 37 kabla ya Leander Dendoncker kuisawazishia Anderlecht dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment