Fabian Delph akishangilia na Leroy Sane baada ya kuifungia Manchester City bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Hull City Uwanja wa Etihad leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya City yamefungwa na Ahmed El Mohamady aliyejifunga dakika ya 31 na Sergio Aguero dakika ya 48, wakati la Hull limefungwa na Andrea Ranocchia dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
No ball? No problem. How Forest are breaking the possession obsession
-
Nottingham Forest could become the first side in Premier League history to
finish in the top four with less than 40% average possession.
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment