Isco akishangilia na Marcelo baada ya kuifungia Real Madrid bao la ushindi dakika ya 90 ikiilaza 3-2 Sporting Gijon katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Manispaa ya El Molinon mjini Gijon. Isco pia alifunga bao la kwanza dakika ya 17 wakati bao lingine la Real lilifungwa na Alvaro Morata dakika ya 59 wakati mabao ya Gijon yamefungwa na Duje Cop dakika ya 14 na Mikel Vesga dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Controversial footballer James McClean tipped to make shock career move and
fight KSI in BOXING match
-
James McClean has been backed to make a shock move into boxing where he
could 'do a bit of damage' to YouTuber-turned-fighter KSI. The Wrexham
footballer h...
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment