Diego Costa (kushoto) akimpongeza mchezaji mwenzake, Eden Hazard baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika 20 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, AFC Bournemouth leo Uwanja wa Vitality katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Adam Smith aliyejifunga dakika ya 17 na Marcos Alonso dakika ya 68 wakati la wenyeji lilifungwa na Josh King dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment