Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane akijifuta usoni kwa masikitiko baada ya timu yake kulazimishwa sare ya 1-1 na Eibar katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu. Fran Rico alianza kuifungia Eibar dakika ya sita kabla ya Gareth Bale kuwasawazishia wenyeji dakika ya 17 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment