![]() |
| Kocha wa Azam, Stewart Hall akimkabidhi jezi ya Azam, Sadi Kawemba wa TFF |
![]() |
| Katibu wa Azam, Nassor Idrisa akimkabidhi jezi ya Azam, rais wa TFF, Leodegar Tenga kulia |
![]() |
| Meneja wa Azam, Patrick Kahemele akimkabidhi jezi ya Azam, Ofisa wa FIFA aliye katika msafara wa Pele, Emmanuel Maradas |
![]() |
| Kahemele akimkabidhi jezi Pele |
![]() |
| Maradas akimpa zawadi za FIFA Nassor |
![]() |
| Pele akizungumza na Waandishi wa Habari |
![]() |
| Leo ni birthday ya Pele, kocha wa timu za vijana za Azam, Vivek Nagul amemfanyia surprise kwa kumtengenezea keki aliyomkabidhi alipofika Chamazi. Hapa anajilamba baada ya kuonja keki |
![]() |
| Pele akifurahia keki yake |
![]() |
| Pele akikata keki yake. Kushoto ni Tenga akishuhudia |
![]() |
| King Zubeiry na King Pele |
![]() |
| King Pele akiwa na viongozi wa Azam |
![]() |
| Kulia ni Ofisa wa FIFA, aliye katika msafara wa Pele, Ashford Mamelodi |
![]() |
| Stewart akimjulisha kuhusu mambo ya Azam |
![]() |
| Kocha Msaidizi wa Azam, Kali Ongala |
![]() |
| Khamis Mcha 'Vialli' akiogelea kwenye bwawa ndani ya Azam Complex |
![]() |
| Stewart akimjuza Pele |
![]() |
| Pele akiingia kwenye Uwanja wa Azam |
![]() |
| Nassor akiupokea msafara wa Pele |
![]() |
| King Pele anashuka kwenye gari |
![]() |
| Pele katika picha ya pamoja na viongozi na wachezaji wa Azam Academy |
![]() |
| Pele akiwa amezungukwa na bidhaa za Azam |
![]() |
| Tenga akiweka chupa ya maji ya Uhai mezani baada ya kupiga funda za kutosha |
![]() |
| Tendo bila kuchelewa, King Pele akigungua 'kiemolo' cha Azam Cola |


























.png)