Robin van Persie jana alifanyiwa vipimo vya afya katika hospitali ya Bridgewater katika safari yake ya kuelekea Manchester United na leo, mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 29 atatangazwa rasmi kuuzwa kutoka Arsenal kwa pauni Milioni 24, kabla ya dirisha la usajili wa Ligi Kuu England kufungwa saa 6:00 usiku wa leo.


SOURCE: http://www.dailymail.co.uk
United imewapiga bao Manchester City na Juventus katika vita ya kuwania saini ya Mholanzi huyo aliyetua Old Trafford na kuna matumaini Jumatatu akacheza mechi ya ufunguzi ya Ligi Kuu dhidi ya Everton.
Robin van Persie akiwasili hospitali ya Bridgewater


.png)
0 comments:
Post a Comment