Sasa mashabiki wa Arsenal hawataki kuiona picha yoyote Robin va Persie katika klabu yao. Tazama picha hii kwenye gari, imeandikiwa ujumbe; Ondoa Van Persie, huku kulia mashabiki wa timu hiyo wakiwa wamebeba sanamu la mchezaji huyo. Sijui wamelitoa wapi na wanalipeleka wapi.
0 comments:
Post a Comment