MARAFIKI WAUNGANA TENA: Alex Song akitaniana na mchezaji mwenzake wa timu yake mpya, Barcelona, Cesc Fabregas Uwanja wa Nou Camp.
MAJEMBE YA BARCA: Song na wachezaji wenzake, wakiwemo Eric Abidal (katikati) na Fabregas (kulia)
Song wa FCB
Mashabiki wakimpokea kwa furaha Alex Song anayeana nao mikono, Mcameroon mwingine kutua Barca baada ya Samuel Eto'o aliyekuwa mfalme Camp Nou
Song
Rais wa Barcelona, Sandro Rosell (kushoto) akipeana mikono na Song
Song
Song
Song akisani autographs za mashabiki wake wapya
SURCE: http://www.dailymail.co.uk


.png)
0 comments:
Post a Comment