Robin van Persie amekabidhiwa jezi namba 20 na atakuwa akilipwa pauni 250,000 kwa wiki sawa na Wayne Rooney.
Robin van Persieakiwa amepozi na jezi yake namba 20 na kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson
Robin van Persie akisaini Manchester United na Sir Alex Ferguson
Van Persie akisaini autographs za mashabiki nje ya Old Trafford
Van Persie akizungumza na mashabiki wa Manchester United
Van Persie akitabasamu mazozini na Wayne Rooney leo jioni
Van Persie na jezi yake
Van Persie katika Mkutano na Waandishi wa Habari Old Trafford
Van Persie akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari leo, akiwa na Ferguson
Van 20 wa Old Trafford
David Gill, wakala Kees Vos na mke wa Van Persie, Bouchra kwenye Mkujtano na Waandishi wa Habari
WACHEZAJI MAN UNITED NA JEZI NAMBA ZAO:
1: De Gea (GK), 2: Rafael, 3: Evra, 4: Jones, 5: Ferdinand, 6: Evans, 7: Valencia, 8: Anderson, 9: Berbatov, 10: Rooney, 11: Giggs, 12: Smalling, 13: Lindegaard (GK), 14: Chicharito, 15: Vidic, 16: Carrick, 17: Nani, 18: Young, 19: Welbeck, 20: Van Persie, 22: Scholes, 23: Cleverley, 24: Fletcher, 25: Powell, 26: Kagawa, 27: Macheda, 31: Wootton, 33: Bebe, 34: Cole, 35: Lingard, 36: Vermijl, 37: Brady, 38: M.Keane, 39: Thorpe, 41: King, 42: Blackett, 45: Petrucci, 46: Tunnicliffe, 48: W.Keane, 49: Veseli, 50: Johnstone (GK).


.png)
0 comments:
Post a Comment