• HABARI MPYA

    Friday, August 17, 2012

    KUMEKUCHA PAMBANO LA KIZITO NA SHAURI

    Mkurugenzi wa Kitwe General Traders, Lucas Rutainirwa katikati AKIZUNGUMZA NA WANA HABARI LEO KUHUSU MPAMBANO HUO PICHA NA www.superdboxingcoach.blogspot.com
    Ramadhani Shauri akizungumza katika mkutano huo
    Mkurugenzi wa Kitwe General Traders, Lucas Rutainirwakatikati akiwa ameshika mkanda wa ubingwa wa IBF Africa atakaepewa bondia atakaeshinda katika mpambano huo kushoto ni Sande Kizito wa Uganda na Ramadhani Shauri wa Tanzania picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
    Mkurugenzi wa Kitwe General Traders, Lucas Rutainirwakatikati akiwa ameshika mkanda wa ubingwa wa IBF Africa atakaepewa bondia atakaeshinda katika mpambano huo kushoto ni Sande Kizito wa Uganda na Ramadhani Shauri wa Tanzania picha  pamoja na Rais wa IBF Africa Onesmo Ngowi na makocha wa wachezaji hawonawww.superdboxingcoach.blogspot.com
    Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akitunishiana misuri na Sako Mwaisege 'Dunga wakati wa utambulisho wa mpambano wao leo mbele ya waandishi wa habari picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
    Bondia Sande Kizito wa Uganda kushoto akitunishiana misuri na RAmadhani Shauri wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa IBF Africa utakaofanyika siku ya Idi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com.blogspot.com
    Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akitunishiana misuri na Sako Mwaisege 'Dunga wakati wa utambulisho wa mpambano wao leo mbele ya waandishi wa habari picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KUMEKUCHA PAMBANO LA KIZITO NA SHAURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top