• HABARI MPYA

    Friday, August 17, 2012

    PIGO MAN CITY, MICAH RICHARDS NJE WIKI 10

    KOCHA Roberto Mancini amepata pigo lingine akijiandaa kuingi kwenye msimu mpya, kufuatia kuumia kwa beki wake, Micah Richards ambaye anatakiwa kuwa nje ya Uwanja kwa wiki 10.
    Beki huyo wa Manchester City aliuamia wakati anaichezea Uingereza katika Michezo ya Olimpiki, mwaka huu Jijini London. Kocha huyo wa City, alisema haswa beki huyo wa kulia alitakiwa kuwa nje ya Uwanja kwa  mwezi mmoja.
    Concern: Micah Richards was injured playing for Great Britain at the Olympics
    Micah Richards aliuami Olimpiki

    Kiwango hicho kimepanda sasa na Mancini anajiandaa kumkosa kwa miezi miwili.
    Haijajulikana kama Richards atahitaji kufanyiwa upasuaji, hadi taarifa za wataalamu waliomfanyia uchunguzi zitakapotolewa.
    Habari hizo ni pigo kwa Richards, ambaye anataka kupambana kurejea kwenye kikosi cha England.


    Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2189519/Manchester-City-defender-Micah-Richards-10-weeks.html#ixzz23mUtnxZv
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PIGO MAN CITY, MICAH RICHARDS NJE WIKI 10 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top