Mjumbe wa Kamati ya
Usajili ya Simba SC, Mohamed Nassor (kushoto) akimshuhudia mshambuliaji mpya wa
klabu hiyo, Daniel Akuffo akisaini mkataba wa kuichezea klabu hiyo.
|
Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Mohamed Nassor (kushoto) akimshuhudia beki mpya wa klabu hiyo, Paschal Ochieng akisaini mkataba wa kuichezea klabu hiyo.
|
Ochieng kulia na Akuffo kushoto |
0 comments:
Post a Comment