Rais wa Real Madrid, Florentino Perez (kushoto) akimkabidhi Cristiano Ronaldo jezi ya kumbukumbu ya kufikisha mabao 100 kwenye michuano ya Ulaya jana baada ya juzi kufunga mabao mawili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Bayern Munich kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabigwa Uwanja wa Allianz Arena, Munich PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment