Paulo Dybala (kulia) akipeana mkono na Mwenyekiti wa Juventus, Andrea Agnelli (kushoto) baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka mitano utakaomuweka Torino hadi mwaka 2022 akilipwa Pauni 110,000 kwa wiki. Amesaini mkataba mpya siku mbili baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 kufunga mabao mawili juzi katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Barcelona kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment