Andros Townsend akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Crystal Palace bao la kwanza dakika ya saba Uwanja wa Selhurst Park, London akimalizia krosi ya Wilfried Zaha usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Palace ilishinda 3-0 mabao mengine yakifungwa na Yohan Cabaye dakika ya 63 na Luka Milivojevic dakika ya 68 kwa penalti baada ya Townsend kuangshwa kwenye boksi la Arsenal PICHA ZAIDI HONGA HAPA
Floyd Mayweather's US passport is set to be REVOKED over $7m tax debt
-
Mayweather, who earned more than $1bn over the course of his boxing career,
has been notified by the IRS of its intention to take his papers over an
unreso...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment