• HABARI MPYA

    Monday, August 20, 2012

    MTAMBO WA GONGO WAMCHAKAZA MATUMLA

    Bondia Rashidi Matumla kushoto akioneshana umwamba wa kutupa masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa Dar live Maneno alishinda kwa point.Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

    NI MAWE MSASUMBWI KWA KWENDA MBELE NGUMI NGUMI
    MANENO OSWARD AKIJARIBU KUTUPIANA NGUMI ZA MABISHANO NA RASHIDI MATUMLA YANI NIPE NIKUPE MPAKA MWISHO WA MCHEZO MANENO ALIBUKA MSHINDI KWA POINT.Bondia Rashidi Matumla kushoto akioneshana umwamba wa kutupa masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa Dar live Maneno alishinda kwa point.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MTAMBO WA GONGO WAMCHAKAZA MATUMLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top