EID MUBBARAK WAPENDWA, WAPENZI WA BIN ZUBEIRY BLOG
Asalam Alaukym Warahmatu Llah Taala Wabarakatu. Kwa pamoja na familia yangu, ninawatakia wasomaji wangu wote Eid Mubbarak. Mwenye Mungu ajaalie wepesi kwa yote, tusherekee Eid yetu kwa amani, furaha na upendo Inshaallah. Eid Mubbarak.
0 comments:
Post a Comment