• HABARI MPYA

  Friday, June 22, 2012

  YONDAN AANZA MAZOEZI YANGA LEO ASUBUHI LEO


  Kelvin Patrick Yondan, beki wa kimataifa wa Tanzania, ameanza mazoezi rasmi leo katika klabu yake mpya, Yanga SC. Yondan alitinga maeozini asubuhi na kushangiliwa ile mbaya na mashabiki wa klabu hiyo Uwanja wa Kaunda, Jangwani, Dar es Salaam. Picha tofauti zikimuonyesha Yondan mazoezini nYanga.

  ULIMI HAUNA MFUPA...

  Gazeti hili limetoka leo
  ULIMI HUU HAUNA HATA MISULI...

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YONDAN AANZA MAZOEZI YANGA LEO ASUBUHI LEO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top