Mohamed Salah akiifungia timu yake mpya, Liverpool bao la kusawazisha dakika ya 45 katika sare ya 1-1 na timu ya Daraja la kwanza, Wigan Athletic jana Uwanja wa DW mjini Wigan akicheza mechi yake ya kwanza kabisa baada ya kusajiliwa kwa dau la rekodi, Pauni Milioni 37 kutoka AS Roma ya Italia. Alex Gilbey alianza kuifungia Wigan dakika ya 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man United told to take action against 'scumbag' fans caught posing as
disabled supporters to get into matches... as charity warns their behaviour
'cannot be tolerated'
-
Mail Sport reported this week that United had received 'multiple'
allegations of non-disabled fans turning up to away games in a wheelchair
using tickets a...
37 minutes ago
0 comments:
Post a Comment