Olivier Giroud wa Ufaransa akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za sita, 13 na 69 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Paraguay kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Roazhon Park mjini Rennes, Ufaransa. Mabao mengine ya Ufaransa yamefungwa na Moussa Sissoko dakika ya 76 na Antoine Griezmann dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment