• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 28, 2017

  TAIFA STARS NA ANGOLA KATIKA PICHA JANA BAFOKENG

  Kiungo wa Tanzania, Muzamil Yassin (kulia) akimtoka mchezaji wa Angola katika mchezo wa Kundi A Kombe la COSAFA Castle jana Uwanja wa Uwanja wa Royal Bafokeng mjini Rusternburg, Afrika Kusini. Timu zilitoka sare ya 0-0
  Winga wa Taifa Stars, Shiza Kichuya (kushoto) akipambana na mchezaji wa Angola
  Beki wa Taifa Stars, Erasto Nyoni (kulia) akimtazama mchezaji wa Angola wakati anapiga mpira
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS NA ANGOLA KATIKA PICHA JANA BAFOKENG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top