• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 22, 2017

  MAFANIKIO YA RONALDO WAKATI MWINGINE HULETWA NA UPENDO

  Nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo akimbusu binti mdogo mlemavu jana Uwanja wa Otkrytiye Arena mjini Moscow kabla ya mchezo dhidi ya wenyeji Urusi. Kwa busu hilo, baraka za mtoto huyo zilimsaidia Ronaldo kuifungai bao pekee la ushindi wakiilaza 1-0 Urusi kwenye mchezo huo wa Kundi A Kombe la Mabara PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAFANIKIO YA RONALDO WAKATI MWINGINE HULETWA NA UPENDO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top