• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 29, 2017

  RONALDO WATOTO WATATU MAMA HAWAJULIKANI!

  Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo ameposti picha hii ya watoto wake pacha, Mateo na Eva waliozaliwa na mama ambaye hajatajwa baada ya kukutana nao kwa mara ya kwanza. Mchezaji huyo wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 32 ambaye Jumatano timu ya taifa, Ureno ilitolewa na Chile kwa penalti 3-0 baada ya sare ya 0-0 kwenye Nusu Fainali ya Kombe la Mabara nchini Urusi, sasa anafikisha watoto watatu baada ya Cristiano Jnr wa kwanza mwenye umri wa miaka saba sasa, lakini naye mama yake hajulikani 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO WATOTO WATATU MAMA HAWAJULIKANI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top