• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 23, 2017

  SANCHEZ AWEKA REKODI YA MABAO CHILE IKITOA SARE NA UJERUMANI

  Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Chile bao la kuongoza dakika ya sita katika sare ya 1-1 na Ujerumani usiku wa Alhamisi Uwanja wa Kazan Arena mjini Kazan kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Mabara. Ujerumani ilisawazisha kupitia kwa Lars Stindl dakika ya 41, lakini Sanchez amefanikiwa kuweka rekodi ya mchezaji aliyeifungia mabao mengi zaidi kihistoria Chile akifikisha mabao 38 na kumpiku Marcelo Salas PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SANCHEZ AWEKA REKODI YA MABAO CHILE IKITOA SARE NA UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top