HAWA HAPA TEMBELE NA MTEMI NA FOMU ZAO KUWANIA UONGOZI TFF
Viungo wa zamani wa timu ya taifa, Taifa Stars, Ally Mayay Tembele (kushoto) na Mtemi Ramadhani (kulia) wakiwa ameshika fomu ya kugombea uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya kuchukua asubuhi ya leo ofisi za shirikisho hilo, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo. Mayay aliyewahi kuchezea Yanga, anawania Urais na Mtemi, mchezaji wa zamani wa Simba anataka Umakamu wa Rais
0 comments:
Post a Comment