• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 20, 2017

  UJERUMANI YAILAZA 3-2 AUSTRALIA KOMBE LA MABARA

  Wachezaji wa Ujerumani wakipeana mikono na wachezaji wa Australia baada ya ushindi wa 3-2 katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mabara jana Uwanja wa Olimpiki Fisht mjini Sochi. Mabao ya Ujerumani yalifungwa na Lars Stindl dakika ya tano, Julian Draxler dakika ya 44 kwa penalti na Leon Goretzka dakika ya 48 wakati ya Australia yalifungwa na Tom Rogic dakika ya 41 na Tomi Juric dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UJERUMANI YAILAZA 3-2 AUSTRALIA KOMBE LA MABARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top