• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 30, 2017

  TAIFA STARS NA MAURITIUS KATIKA PICHA JANA MORULENG

  Kiungo wa Tanzania, Erasto Nyoni akimtoka mchezaji wa Mauritius katika mchezo wa mwisho wa Kundi A Kombe la COSAFA Castle jana Uwanja wa Moruleng mjini Rusternburg, Afrika Kusini timu hizo zikitoka sare ya 1-1
   Mshambuliaji wa Tanzania, Elias Maguri akimfukuzia mchezaji wa Mauritius
  Nahodha wa Tanzania, Himid Mao akimtoka mchezaji wa Mauritius
  Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu akimtoka mchezaji wa Mauritius jana
  Nahodha wa Tanzania, Himid Mao akipambana na mchezaji wa Mauritius jana
  Beki wa Tanzania, Gardiel Michael akiruka kugombea mpira na mchezaji wa Mauritius
  Beki wa Tanzania, Salim Mbonde akimdhibiti mchezaji wa Mauritius jana 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS NA MAURITIUS KATIKA PICHA JANA MORULENG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top