Leon Goretzka (kulia) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Ujerumani mabao mawili dakika za sita na nane katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Mexico leo kwenye mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Mabara leo Uwanja wa Olimpiki Fisht mjini Sochi. Mabao mengine ya mabingwa hao wa dunia yamefungwa na Timo Werner dakika ya 59 na Amin Younes dakika ya 90 na ushei, wakati la Mexico limefungwa na Marco Fabian dakika ya 89 na sasa Ujerumani itakutana na Chile katika fainali Julai 2 Uwanja wa Krestovsky mjini Saint Petersburg, Urusi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
13 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment