• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 25, 2017

  UJERUMANI YAITUPA NJE CAMEROON KOMBE LA MABARA

  Timo Werner (kulia), mfungaji wa mabao mawili ya Ujerumani dakika za 66 na 81 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Cameroon leo Uwanja wa Olimpiki Fisht mjini Sochi, Urusi kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Mabara akimiliki mpira dhidi ya dhidi ya beki wa Simba Wasiofungika, Adolphe Teikeu (kushoto). Bao lingine la Ujerumani limefungwa na Kerem Demirbay dakika ya 48, wakati la Cameroon limefungwa na Vincent Aboubakar. Kwa matokeo hayo, Cameroon inatolewa kwenye mashindano, huku Ujerumani ikienda Nusu Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UJERUMANI YAITUPA NJE CAMEROON KOMBE LA MABARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top