• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 21, 2017

  MPOTO THEATRE WALIVYOFANYA YAO SIKU YA WAKIMBIZI DUNIANI

  Wasanii wa kundi la Mpoto Theatre, wakiigiza igizo katika Siku ya Maadhimisho ya Wakimibizi Duniani,igizo hilo lilihusu mauaji yanayotokea nchi mbalimbali zilizoko kwenye vita ambapo hupelekea wananchi wake kukimbilia nchi nyingine na kuomba hifadhi ya ukimbizi. Maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa Little Theatre mjini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
  Wasanii wa kundi la Mpoto Theatre, wakiigiza igizo katika Siku ya Maadhimisho ya Wakimibizi Duniani,igizo hilo lilihusu mauaji yanayotokea nchi mbalimbali zilizoko kwenye vita ambapo hupelekea wananchi wake kukimbilia nchi nyingine na kuomba hifadhi ya ukimbizi.Maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa Little Theatre, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 
  Wasanii ambao ni wakimbizi walioko katika kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma, wakiburudisha wageni waliohudhuria Siku ya Maadhimisho ya Wakimbizi Duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MPOTO THEATRE WALIVYOFANYA YAO SIKU YA WAKIMBIZI DUNIANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top