• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 29, 2017

  RONALDO 'ACHEZEWA KINDAVA' URENO YANG'OLEWA KWA MATUTA KOMBE LA MABARA

  Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo akipambana na Mauricio Isla wa Chile katikaa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mabara usiku wa Jumatano Uwanja wa Kazan Arena mjini Kazan, Urusi. Chile ilishinda kwa penalti 3-0 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 120 shujaa akiwa ni kipa Claudio Bravo aliyeokoa penalti zote tatu za Ricardo Quaresma, 
  João Moutinho na Luis Nani,wakati zao zilifungwa na Arturo. Vidal, Charles Aranguiz na  Alexis Sanchez. Chile sasa itakutana na mshindi kati ya Ujerumani na Mexico zinazomenyana Alhamisi katika Nusu Fainali ya pili Uwanja wa Olimpiki mjini Sochi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO 'ACHEZEWA KINDAVA' URENO YANG'OLEWA KWA MATUTA KOMBE LA MABARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top