Bondia Mmarekani, Andre Ward akiondoka huku akishangilia baada ya refa, Tony Weeks kusimamisha pambano kati yake na Sergey Kovalev dakika ya pili, sekunde ya 29 raundi ya nane mjini Mandalay Bay usiku wa jana. Hata hivyo, refa alilalamikiwa kumaliza pambano hilo la uzito wa Light Heavy haraka na kumpa ushindi wa Technical Knockout (TKO) Ward, huku Mrusi Kovalev akiwa ana uwezo wa kuendelea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
13 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment