Ricardo Quaresma akishangilia na Cristiano Ronaldo aliyemsetia nafasi ya kuifungia Ureno bao la kwanza dakika ya 34 katika sare ya 2-2 na Mexico kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Mabara usiku huu Uwanja wa Kazan Arena mjini Kazan, Urusi. Bao la pili la Ureno lilifungwa na Cedric Soares dakika ya 86, wakati mabao ya Mexico yamefungwa na Javier Hernandez 'Chicharito' dakika ya 42 na Hector Moreno dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
12 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment