Mratibu wa Singida United, Sanga Festo (kushoto) akimkabidhi jezi ya timu hiyo mshambuliaji Danny Usengimana baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na wageni hao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kutoka Polisi ya kwao, Rwanda. Usengimana ni mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Azam Rwanda kwa misimu miwili iliyopita
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
12 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment