• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 23, 2017

  WAZIRI MWAKYEMBE AMTEMBELEA NAHODHA SERENGETI BOYS KUMJULIA HALI

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto), akizungumza na Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Issa Abdi Makamba leo nyumbani kwao katika kitongoji cha Mlezi,  Dodoma baada ya kumtembelea kumjulia hali
  Issa aliumia mguu wa kulia akiwa kwenye kambi ya mazoezi nchini Morocco mwezi Aprili walipokuwa wakijiandaa na michuano ya AFCON U-17 niliyofanyika chini Gabon mwezi Mei Waziri Mwakyembe alitumia fursa hiyo kumpa pole na kumhakikishia Issa huduma muhimu hadi afya yake itakapotengemaa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WAZIRI MWAKYEMBE AMTEMBELEA NAHODHA SERENGETI BOYS KUMJULIA HALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top